Sera na Masharti

M2 Conexon Ltd. ยท P.O. Box 2709, Dar es Salaam, Tanzania

Masharti ya huduma

  • Bei ya usafirishaji huonyeshwa kabla ya malipo na haibadiliki baada ya mzigo kuthibitishwa.
  • Mtumaji anahakikisha taarifa za mpokeaji na mahali ni sahihi.
  • Mzigo hukabidhiwa kwa mpokeaji kwa nambari ya siri (OTP) pekee.

Sera ya faragha

  • Tunatumia namba ya simu, jina na mahali kwa ajili ya kufikisha mzigo tu.
  • Hatuuzi taarifa zako. Waendesha boda wanaona taarifa za kazi wanayoifanya tu.

Vitu vilivyokatazwa

  • Dawa za kulevya, silaha, vilipuzi na kemikali hatari.
  • Pesa taslimu, wanyama hai na bidhaa zinazoharibika haraka bila makubaliano.
  • Bidhaa yoyote iliyokatazwa na sheria za Tanzania.

Madai na marejesho

  • Ripoti mzigo uliopotea au kuharibika ndani ya saa 48 baada ya muda wa kufika.
  • Mpokeaji akikataa mzigo, marejesho hushughulikiwa kupitia akaunti ya mtumaji.